Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Desemba, 2023

DAWA YA KUKATA SAUTI

   Tuangalie Dawa Ya Kuponyesha Mtu Mwenye Tatizo La Kukwama Na  ●●● SAUTI ●●●  Kitaalamu Wanaita ●●●  HOARSENESS TREATMENT  ●●● Au Kwa ▪▪▪ Arabic Huita ▪▪▪  《¤》 علاج بحة الصوت 《¤》 MAANDALIZI YA DAWA ZAKE HIZI ZIFUATAZO :   ( 1 ) Tangawizi Ya Unga Gram 25 <> ( 2 ) Unga Wa Naana Gram 25 <> Changanya Dawa Hizi 2 Kisha Baada Ya Kuchanganya Vizuri.  Chukuwa Rojo Au Ute Mweupe Wa Yai Kijiko 1 Kidogo .  Utachanganya Na Kijiko 1 Kikubwa Cha Mafuta Ya Mzaituni...  MATUMIZI :  Utajipakaa Kwenye Koo lako Kutwa Mara 2 i Fanya kwa Siku 3 Au 5  lita Kwisha.  Kwa tatizo lolote la kidunia kasoro uzee na kifo .