DAWA YA KUKATA SAUTI

 

 Tuangalie Dawa Ya Kuponyesha Mtu Mwenye Tatizo La Kukwama Na 

●●● SAUTI ●●●

 Kitaalamu Wanaita ●●● 

HOARSENESS TREATMENT 

●●● Au Kwa ▪▪▪ Arabic Huita ▪▪▪ 

《¤》 علاج بحة الصوت 《¤》 MAANDALIZI YA DAWA ZAKE HIZI ZIFUATAZO : 

 ( 1 ) Tangawizi Ya Unga Gram 25 <> ( 2 ) Unga Wa Naana Gram 25 <> Changanya Dawa Hizi 2 Kisha Baada Ya Kuchanganya Vizuri. 

Chukuwa Rojo Au Ute Mweupe Wa Yai Kijiko 1 Kidogo . 

Utachanganya Na Kijiko 1 Kikubwa Cha Mafuta Ya Mzaituni...

 MATUMIZI : 

Utajipakaa Kwenye Koo lako Kutwa Mara 2 i Fanya kwa Siku 3 Au 5

 lita Kwisha. 

Kwa tatizo lolote la kidunia kasoro uzee na kifo .

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

TIBA ASILI YA UUME KUWA NA MAPELE,FANGASI NA MADONDA.

WAJUA KUWA VIAZI MVIRINGO NI TIBA.

TANGO(CUCUMBER) KATIKA TIBA NA AFYA YA MWILI.