Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Januari, 2024

KUHUSU PUNYETO

Ni kwa kiwango gani upigaji punyeto huleta madhara? Hakuna upigaji punyeto uliyo salama na pia vilevile hakuna kiwango kilicho salama, licha ya kwamba mtu aliyefanya aliyejichua kwa kiwango kidogo ana nafasi ndogo ya kupata madhara. Hata hivyo, hakuna idadi maalumu inayoweza kuchukuliwa kama ni uchuaji au ufanyaji masturbation mkubwa au wa kupindukia (iliyovuka kiwango). Idadi ya kujichua (masturbation) anayoweza kufanya mtu bila madhara hutegemea afya ya mtu huyo na kemia ya mwili wake. Baadhi ya watu hupiga punyeto (masturbation) kwa muda mfupi katika kipindi fulani, mathalani mwezi mmoja tu au miwili. Na wengine wanaweza kufanya masturbation kwa muda mrefu kiasi cha mwaka mmoja au zaidi na hata huweza kufikia mara 2 hata mara 5 kwa siku, na wanaweza kufanya kila siku (NON STOP)! Kwa hakika huo ni upigaji punyeto uliyovuka mipaka, ni lazima itadhikisha ini na kazi za mfumo wa neva na lazima imweke mtu katika uhanisi hata kama ni kijana wa miaka 18, na kwa baadhi ya watu hata