TANGO(CUCUMBER) KATIKA TIBA NA AFYA YA MWILI.

Utomvu wa tango unasaidia kupunguza ugonjwa wa kisukari, kama una mgonjwa wa kisukari mwanzishie diet ya Kila jioni anatangwa slice kadha za tango sukari yake itakuwa balance 


Tango lanaongeza maji mwili 

Tango linapunguza sumu kwenye damu 

Tango linazuia saratani ya koo

Tango linaongeza uwezo wa macho kuona

Tango linazuia kuhalisha

Tango linasaidia kuongeza hamu ya chakula

Tango linaongeza hamu ya kunywa maji 

Tango lina vitamin kama zote C mpaka K 

Tango linazuia macho kuwa mekundu

Tango linaweza kuchangia uwe na mkojo msafi 

Tango linasaidia kupunguza mawazo 


Sasa panya huku mkubwa wewe nani kakuambia ukiwa unakula tango lazima utumie chumvi, tango hutakiwi kulilia na chumvi ukilia chumvi diet value yake inakuwa Low sababu hiyo unaweza kuugua magonjwa ya moyo badala ya kutibu.


Pia sipendekezi sana ukala tango na maganda yake ya nje sababu Matango yanayopatikana majini mengi hupuluziwa dawa za fangusi hivyo magamba ya nje sio salama kabisa kwa ulaji vyema ukaliosha kwa maji moto au ukalimenya.


Sasa ndio usiondoke au kupita post huu bila share jamani hata kama nimekufokea si lengo unielewe kizazi hadi kizazi au !! Like au share sasa hapo juu....

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

TIBA ASILI YA UUME KUWA NA MAPELE,FANGASI NA MADONDA.

WAJUA KUWA VIAZI MVIRINGO NI TIBA.