WAJUA KUWA VIAZI MVIRINGO NI TIBA.

 Waoh  !

Viaizi mviringo unaweza kusema vina madhara laini kumbe wanakula vilivyo kaangangwa na mafuta ndio wabaya sababu viazi mviringo kama viazi havina shida isipokuwa vikipita kwenye mafuta calories zake zinaongezeka .


Waoh  !

Viaizi mviringo vinahitaji kuchemshwa au kubanikwa na moto ndio utaona raha na faida zake kemu kemu katika afya.


Waoh  !

Viaizi mviringo kwanza ukiangalia faida yake ya kwanza vina chemical ya Cr-083 ambayo hii ikifika tumboni inafanya mtu kujihisi kuwahi kushiba haraka zaidi hivyo kuzuia magonjwa ya tumbo na hasira.


Waoh 

Faida zingine nitazitaja kwa haraka sababu mimi napenda kufanya summary ukitaka maelezo mengi mtaibiwa na wachumia tumbo


- Ni dawa ya sukari inayopanda kwani huLow na kubalance sukari katika level ya kawaida kabisa kiasi kwamba huwezi kujijua kama unakiaukari kwa masaa mrefu.


- Ndani ya kiazi kimoja kuna zaidi ya vitamin 17 madini ya chuma 10 jumla 27 ni nutrients za madini na vitamini kiasi kwamba mwili unaweza kujijenga haswa.


- Viazi mviringo vinaweza kutumika kupunguza uzito wa mwili.


- Viazi mviringo ni dawa ya moyo na watu wenye high cholesterol ndio kimbilio lao kamwe haitakuja kubadilika.


- Vaizi mviringo vinazuia saratani ya utumbo mkubwa kwa asilimia 60% 


Hivi ya mwisho sio faida ni ushauri 

Ukichukua viazi mviringo uka mix na mayai ya kisasa unategeneza chemical formula ya c6-7d-10v + 0c - 9v ambayo ni sawa na ile ya vidonge vya uzazi wa mpango hivyo usije kumix viazi mviringo na mayai ya kisasa utachelewa kubeba mimba, kupata hedhi, 



Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

TIBA ASILI YA UUME KUWA NA MAPELE,FANGASI NA MADONDA.

TANGO(CUCUMBER) KATIKA TIBA NA AFYA YA MWILI.