TIBA ASILI YA UUME KUWA NA MAPELE,FANGASI NA MADONDA.

Kuota mapele au fungasi kwenye uume.

Sababu kuu.

  Kunachangiwa na wewe unapolala na mwanamke ukajamiana unakaa mdaa mrefu bila kujitakasa kwa Maji safi eneo la ume au joto kutokana na nguo ya ndani ama usafi wa Sehemu za siri.


Tiba ni hii Bure na matokeo yake ni siku 3 Tu.


Tiba Ni hii.

Chukua maji ya uvuguvugu, 

osha uume wako kwa kitamba laini, Weka chumvi kwenye kijiko cha chai changanya na mafuta ya kupikia (cooking oil) 

Kisha paka eneo lote la vipele Usiku na Asubhi.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

WAJUA KUWA VIAZI MVIRINGO NI TIBA.

TANGO(CUCUMBER) KATIKA TIBA NA AFYA YA MWILI.