MAAJABU YA BINZARI{TURMERIC}

Binzari ya Manjano (Turmeric) ni jamii ya familia ya mmea wa Tangawizi una maajabu ya Mia Tatu (300).
Wale mlio kuwa mnanisumbua tiba ya 1-Ugonjwa wa Hepatitis B
2-kinga ya Saratani.
3-Shida ya mfumo wa choo na mmengenyo wa chakula.
4-Kuongeza uwimara wa kinga (Cd4).
5-Kuondoa sumu kwenye ini.
6-Kupunguza uzito.
7-Kupendezesha na kungalisha ngozi.
8-Kutibu kidonda sugu au kibichi.
9-Kutibu maumivi ya joint(Viungio)
10.Uchafu na bacteria kwenye kibofu cha mkojo.
11.Kutibu minyoo tumboni.
12.Kutibu Mzunguko wa damu.
13.Kutibu Kujawa na gesi tumboni.
14.Kutibu matatizo ya mapafu.
15.Kutibu vidonda vya tumbo.
16.UTI.
17.Homa.
18.Typhoid.
19.Malaria.
20.Pumu. 

MATUMIZI:-
Matumizi na Jinsi ya kuchanganya yote yapo kwenye kitabu changu Kipya, Nitatoa copy 100 Bure.

Utajua jinsi ya kuchanganya na Pilipili Manga, Vitungu maji na kitungu swaumu, Magadi, Tangawizi na mengine mengi ili kupata kitabu hicho chenye kurasa 120 , Jiunge na Group la WhatsApp Leo kujua zaidi.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

TIBA ASILI YA UUME KUWA NA MAPELE,FANGASI NA MADONDA.

WAJUA KUWA VIAZI MVIRINGO NI TIBA.

TANGO(CUCUMBER) KATIKA TIBA NA AFYA YA MWILI.