FAHAMU MADHARA YA VYAKULA VIZITO.

 Nimekuwa nasisitiza hapa kila siku wajinga ninyi usiku usitumie chakula kizito kuupa mwili, nitakuwa narudia swala hili mara ngapi ?


Katika somo hili utajifunza mambo yafuatayo : 

1.Aina ya vyakula vizito.

2.Faida za vyakula vizito

3.Athali za vyakula vizito na magonjwa

4.Jinsi ya kubalance lishe usiku.



Aina ya vyakula vizito.

Vyakula vizito kitaalamu huitwa Carb-BBA  protocol ni aina vyakula vilivyosheheni kiasi Kidogo cha  kamba kamba kwa asilimia 20%  (carbs) na wanga (Starch) kwa asilimia 69% 


Mfano (Mahindi)(ugali)(wali mweupe)(chapati)(mkate)(uji)(chai) n.k.


👉Faida za vyakula vizito

Vyakula vizito kwa kuwa husheeni asilimia 60% au zaidi ya starch ambayo starch hiyo hufyonzwa kwenye utumbo mdogo tumboni na kisha kuingia kwenye ini na kubadilishwa kuwa glucose ambayo mwili hutumia kuzalisha nguvu ya mwili.Faida ya vyakula vizito ni pamoja na kusaidia mwili kuwa na nguvu (movement) (work out) ni pamoja na kuzipa nguvu seli kufanya kazi mbalimbali ya mwili (cells fuction) 


Athali za vyakula vizito na magonjwa

Vyakula vizito vinahushishwa na kuharibu insulin ambayo mwanadamu inamsaidia kustawisha sukari iliyopo kwenye mwili na inayoongezeka, hata hivyo insulin inapoharibiwa mfumo wake unapokula vyakula vyenye wingi wa sukari husababisha sukari nyingi kuzidi mwilini na kufanya mwili kushindwa kuchakata sukari na kuchochea hatari ya magonjwa ya kisukari, (blood sugar) (blood pressure) na magonjwa ya moyo bila kusahau figo.


Jinsi ya kubalance lishe usiku.

Kulingana na maisha ya Afrika vyakula kama vile ugali (wali)(ndizi)(chapati)(mihogo) au chips ni vyakula ambavyo enzi vimetumika kama sehemu ya kuwafanya watu wakalime mashambani au kuvuna mazao na hivyo enzi hizo jamii zililazimika kushinda mashambani siku nzima wakinywa ugali au uji wa mtama.


Hivyo leo hii sio rahisi kumwaminisha mtazania kwamba kula ugali au wali usiku ni vibaya sababu anaamini ndio chakula kilichomkuza.


Ila waulize baada ya kula ugali mchana ulifanya kazi gani ? Asilimia 90% ya majibu Wengi wanafanya kazi za kukaa ofisini au kushinda dukani kwa ujinga wa akili anaamini kukaa ofisini au dukani amefanya kazi, ila kukaa pekee au kutembea sukari kidogo ndio hupungua na kufanya sukari ya zaida kusalia mwilini  na ifikapo usiku chakula huwa ni ugali ule ule ambapo mdaa huu sio kukaa bali ndio mdaa wa kwenda kulala hapa mwili unakuwa umetimiza asilimia 69% ni sukari iliyozidi na ndio sababu za magonjwa na saratani huanzia hapa.


Kwa kuzingatia ratiba hii inaweza kukusaidia :

Usiku 

Vijiko 30 sawa na kikosi cha ugali (wali) (ndizi) upike kuwa laini + Mboga za majani Vijiko 60 (sawa na kikosi kimoja na unusu + vipande cha tunda la aina Moja ambayo sio matamu kwa asilia yake 200gm (Embe chachu) (tango)(juice ya carrots)+ Maziwa (nyama)samaki n.k ndio ushauriwa kama njia bora ya ulaji wa vyakula vizito (BBA protocol meal) .

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

TIBA ASILI YA UUME KUWA NA MAPELE,FANGASI NA MADONDA.

WAJUA KUWA VIAZI MVIRINGO NI TIBA.

TANGO(CUCUMBER) KATIKA TIBA NA AFYA YA MWILI.