FAIDA YA KULA PARACHICHI(AVOCADO)

Kama ulikuwa hujui ukila parachichi na mkate ni zaidi ya mara 20X ya blueband yani virutubisho vyake ni bamu bamu.


Kama ulikuwa hujalike page hii Like uwe supporter wangu, parachichi ukilia na ugali mara kwa mara unazidi kuongeza nguvu za kiume yani ni bamu bamu.


Kama ulikuwa hujui parachichi, linasaidia kusafisha choo yani upo uwezekano wewe hupati choo vyema na hivyo kukosa choo ni dalili ya Magonjwa mengine kama vile bwawasiri na cancer sasa parachichi linasaidia upate choo laini yani mambo ni bamu bamu.


Pia usije kutupa mbegu ya parachichi kwani inasaidia sana ukiipika kwenye supu huongeza uwezo wa mwanaume kudumu kwenye kitanda mdaa mrefu zaidi.


Parachichi pia lina chl- nzuri ambazo husaidia ukwaji wa mwili iwe kwa mtoto au maumbile mafupi kuwa marefu.


Pia parachichi ni dawa ya ngozi na nywele wa dada wanajua zaidi watusaidia zaidi kwenye comment wanavyo mix 


Pia parachichi ni mafuta ya nywele na ngozi yani ukipaka unakuwa huzeeki wala kupata madhara ya chemicals kwenye ngozi 


Mwisho parachichi linasaidia kuzalisha CD4 hasa kwa watu wenye viral load ya juu ukimix na maizwa mgando mambo huwa bamu bamu zaidi.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

TIBA ASILI YA UUME KUWA NA MAPELE,FANGASI NA MADONDA.

WAJUA KUWA VIAZI MVIRINGO NI TIBA.

TANGO(CUCUMBER) KATIKA TIBA NA AFYA YA MWILI.