MAAJABU YA KULA BAMIA (OKRA) KWA WANAWAKE NA WANAUME.

Bamia ni dawa ingawa ni mboga 

Kwa mfano kama ukiota kidonda chukua bamia tafuna ikiwa mbichi kisha weka kwenye kidogo kinapona.



Bia pia ukiitafuna angali mbichi nayo ni tiba ya kinywa na magonjwa ya koo.



Bamia kama utaipika chukuchuku unaambiwa na ukaila inasaidia sana kuongeza maji ya uzazi hivyo hata kujifungua hupati shida kivile.



Bamia ukilia na ugali au wali inaweza kusaidia mgonjwa wa kisukari isipande wala kuongezeka bali kuwa balanced.


Yes 

Bamia inazuia saratani ya utumbo kama ulikuwa hujui hiyo ndio taarifa yako.



Bamia inasaidia sana wanawake wenye uke mkavu.



Bamia ni tiba ya macho na huongeza kinga ya Mwili kwa magonjwa ya homa na malaria.


Hadi hapo usiondoke jamani bila Like kubwa kubwa ili uwe member wa support wangu +++

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

TIBA ASILI YA UUME KUWA NA MAPELE,FANGASI NA MADONDA.

WAJUA KUWA VIAZI MVIRINGO NI TIBA.

TANGO(CUCUMBER) KATIKA TIBA NA AFYA YA MWILI.