MAAJABU YA NYANYA CHUNGU(BITTER TOMATOES)

 Nyanya chungu unazijua wewe !?

Kata kuzila ila huu ndio ukweli kwamba nyanya chungu ndio zao la mboga ambazo unaweza kuzitafuna hata zikiwa mbichi licha ya uchungu wake ni tiba ya 


+ Meno yanayo uma 

+ Homa ya meno 

+ Harufu ya mdomoni iliyozidi 

+ Meno kung'oka

+ Meno kupukutika

+ Uchafu kinywani 

+ Usaha mdomoni 


(MAJANI YAKE)

- Matatizo ya damu 

- Kisukari

- Blood pressure

- Mshituko wa moyo

- Maivu ya mwili

- Homa ya mwili 

- Maumivu ya viungo


+ Kuuma kwa sikio 

+ Maumivu ya sikio 

+ Usaha kwenye sikio

+ Uchafu masikioni 

+ Shida ya mapafu 

+ Mafua 

+ Asthma


- Maumivu ya ukeni 

- Maumivu ya hedhi 

- Duuh nimetaja faida nyingi naomba Like kishe tuendelee na zingine 90°C....

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

TIBA ASILI YA UUME KUWA NA MAPELE,FANGASI NA MADONDA.

WAJUA KUWA VIAZI MVIRINGO NI TIBA.

TANGO(CUCUMBER) KATIKA TIBA NA AFYA YA MWILI.