MAAJABU YA TANGAWIZI(GINGER) KATIKA TIBA.

 UNAIJUA TANGAWAZI ? 

No huijui ndio maana unaichukulia powa ! 


Tangawizi ni kitu ambacho hutakiwi kukosa iwe umepika wali ama mboga yoyote tia tangawizi utakuja kunishukru siku utakapo jua kuwa 


- Tangawizi ni dawa ya upumuaji, iwe inaangalia na athsma au kuhema kwa shida zingatia kutafuna tangawizi utaona mwamba wasaada.


- Tangawizi ni dawa ya hedhi yani ukiwa ni mpenzi wa chai ya tangawizi ama hakika hutakuja kujutia maumivu ya hedhi wala machafuko wa damu 


Naomba nitaje faida zake kwa haraka maana maneno mengi huchosha kusoma

- Tangawizi ni dawa ya watu wenye pressure ya damu yani ni zaidi ya Asprin au blockers 


- Tangawizi ni dawa ya kutibu tezi dume na mbusha kuuma au kuvimba 


- Tangawizi ni tiba ya uvimbe tumboni na kooni 


- Tangawizi inazuia TB na magonjwa ya mapafu kama 300


- Tangawizi ni dawa ya kutatua shida ya kukosa pumzi wakati wa Sex tena hii ni zaidi ya Vigra


- Tangawizi inasaidia kuondoa maumivu ya mwili na viungo ni zaidi ya pain killer


- Tangawizi hiyo hiyo husaidia kuimalisha misuri na hiyo hiyo huzuia misuri kuuma alafu


- Tangawizi ni tiba ya kinywa na meno ambayo yanauma au kung'oka 


Lakini utakuwa unafanya vibaya Like au share page usikimbie bado huja Like or share ....

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

TIBA ASILI YA UUME KUWA NA MAPELE,FANGASI NA MADONDA.

WAJUA KUWA VIAZI MVIRINGO NI TIBA.

TANGO(CUCUMBER) KATIKA TIBA NA AFYA YA MWILI.