DAWA ZA MAPENZI HIZI HAPA

Dawa za Mapenzi Mambo ya Mapenzi yana njia nyingi sana katika kuyatengeza, wengine wanatumia Nyota, wengine wanatumia Bahati zao za kuzaliwa, wengine uwezo wao wa kuzungumza na kushawishi na wengine wanatumia Miti Shamba na madawa mbali mbali ya mizizi. Mfano mmoja wa dawa hizo ni kuwam, watu huchukua Ini la Paka Mweusi, hulikausha na kulisaga na kuchanganya na chai ya rangi. Chai hiyo huwa ni lazima iwekwe katika Birika Jeusi na hupewa anayekusudiwa bila mwenyewe kufahamu. Kwa njia hii huwa kabisa hawakosei. Nchini Malaysia wao huchukua mchanga wa unyayo alipokanyaga yule anayekusudiwa na kuukaanga mchanga huo, njia hiyo inamfanya yule anayetakiwa kuwashwa washwa na mapenzi na hawezi kumfuata mtu mwingine ila yule mkaangaji. Waarabu nao huandika maandishi fulani kwenye kiganja cha mkono na kujisugua kwenye uso wakati wanazungumza na yule anayemtaka, anayetakiwa hushindwa kijizuia na kuanza kuonyesha mapenzi. Wamisri wao wanachukua nyuzi za kushonea nne za rangi ya nyeupe, nne za rangi ya kijani, nne za rangi ya buluu, na nne za rangi nyekunduna wanzisokota pamoja. Baada ya hapo wanazipata damu ya bundi na unachukua nyuzi hizo unamfunga mtoto mdogo wa kiume ambaye hajawahi kufanya mapenzi usiku kucha mpaka asubuhi na baadaye unazizika, mpenzi wako atarudi au kama unaye basi hachukuliwi na mtu yoyote.... kama unataka kuijua moja kati hizo kiundani usichoke kunitafuta kwa gharama ya kutuma ujumbe na comment tu.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

TIBA ASILI YA UUME KUWA NA MAPELE,FANGASI NA MADONDA.

WAJUA KUWA VIAZI MVIRINGO NI TIBA.

TANGO(CUCUMBER) KATIKA TIBA NA AFYA YA MWILI.