TUMIA KAROTI KUTIBU MACHO,SARATANI YA MIFUPA,MOYO NA UZITO.

 Sikuwahi kukuambia kama carrot 🥕, ni mhimu kwa Afya yako kabla.!


Tambua ndani ya carrot  kuna wastani wa 

Calories: 41

- Water: 88%

- Protein: 0.9 grams

- Carbs: 9.6 grams

- Sugar: 4.7 grams

- Fiber: 2.8 grams

- Fat: 0.2 grams

Hizi ni sababu tosha kukujuza kuwa carrot zina wingu wa beta carotene, fiber, vitamin K1, potassium, na antioxidants.


Kwenye carrot kuna Fibers zinaitwa Soluble fibers hizi husaidia kushusha sukari, kwenye damu.

- Pia zinashusha cholesterol na kusaidia mmengenyo wa chakula tumboni.


_ Kwa kuwa kuna Vitamin A basi carrot zinaweza kuchochea uwezo mkubwa wa kinga kuongezeka,kuongeza uwezo wa kuona na ukuaji wa seli mbalimbali.


_ Kwa kuwa kuna Biotin: A B vitamin au Vitamin H basi carrot inaweza kusaidia kusaga protein na kubalance mafuta mwilini.


_ Kwa kuwa ndani ya carrot kuna hii, Vitamin K hakika upo Uwezekano wa carrot kuimarisha mifupa ya binadamu.


_Pia nimekumbuka kuna Potassium hii ni mhimu Sana kwa kutuliza pressure ya damu.


_ Vitamin B6 hii siwezi kuiacha ambayo pia imo kwenye carrot huusika na kazi moja tu, kuongeza Nguvu mwilini.


_ Bila kusahau carrot inazuia saratani ya mifupa, 

_ Bila kusahau carrot inazuia matatizo ya magonjwa ya moyo, macho,kubalance Uzito na kedekede ambayo siwezi maliza tote hapa.


Matumizi

- Kila unapoamka Asubhi anza na kutafuna carrot hata kabla ya kupiga mswaki.


Au 

Anda kachumbari mchana katiakatia carrot kea wingi kula kama diet bila chakula kingine.


Au

Kunywa chai + carrot bado inaonesha kuongeza faida zaidi katika mwili.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

TIBA ASILI YA UUME KUWA NA MAPELE,FANGASI NA MADONDA.

WAJUA KUWA VIAZI MVIRINGO NI TIBA.

TANGO(CUCUMBER) KATIKA TIBA NA AFYA YA MWILI.