WAJUA KUWA ULAJI WA WALI WAWEZA KUWA SUMU MWILINI
Kinatokea nini unapokula wali
Utakapoanza kuchota wali na kijiko (mkono) ubongo utautalifu mdomo kuzalisha mate mazito kutoka kea salivary gland .
- Utaanza kutafuna njia ya chakula itafunguka ili kujitenga na ile ya kupitishia hewa kwani hata punje moja ikipita kwenye sehemu ya hewa unaweza kufariki Dunia, kupaliwa na kutokea kwa pua.
- wali uliosagwa na meno Utaanza kushuka taratibu hadi tumboni, safari hii itachukua masaa 3 wali ukiwa tumboni zitamwagika chemikali tumboni.
- Kemikali zitakazo mwagika tumboni ni zaidi ya 24 ila main zaidi, ni hydrochloric acid ambapo itakilainisha chakula chote na kuwa tepetepe na baada ya hapo kitasafirishwa kwenda utumbo mdogo (small) .
- Wali ukiwa utumbo mdogo Gall Bladder itamwaga nyonga na chemical zingine zitaanza kufonyanza starch ambayo ni wanga sukari na kusafirishwa kwenda kwenye damu.
- Baada ya damu kupokea sukari ya kutosha CMD na OPS zitasambaza sukari asilimia 0.05 kwenye seli za damu hapa ndipo mtu anaanza kuhisi nguvu ya kufanya kazi na mwili kuwa imara.
- Baadaye damu zitatuma ujumbe kwenda kwa ubongo kujulisha sukari inatosha, Ubongo uzalisha acid ya kurespond mtu kuhisi shibe baada ya mdaa mfupi damu huanza kuzidiwa na kiwango cha sukari hivyo damu huanza kusomba sukari kwa haraka kuikimbiza kwenye bandama (Liver )
- Mwili huanza kuchota sukari polepole kuzilisha seli za mwili kutumia damu kama msambazaji mkuu wa sukari ya wali kwa mwili wote.
- Baada ya mdaa sukari kuanza kuzidi na kulemea mwili na hata ile ya akiba huzidi kuwa nyingi na mwili kukosa mahali pa kuzitunzia hapa ndipo mtu huanza kuungua tatizo la KISUKARI (Ugonjwa)
- Pia kuna wakati mwili huishiwa sukari hivyo huanza kukombakomba sukari yote iliyomo kwenye mwili hapa binadamu huwa anaishiwa nguvu, kuhisi kizunguzungu na kichwa kuuma na Wakati mwingine Sukari hushuka na kumfanya kushikwa na PRESSURE YA DAMU.
Maoni