YAJUE MADHARA YA KUNYWA CHAI BILA KIWANGO.

 Good morning

Chai inaweza kuwa chai kama itakuwa na maadili ya kiafya leo nataka kukupa kanuni muhimu za chai basi usije kukimbia bila kuacha Like kubwa hapo chini na Juuuuuuuuuuuuuu! Tuanze ......


Good morning

Chai yako ya kikombe kimoja usizidishe vijiko 2 ukienda sana 2 na ½.


Good morning

Wengi hudai kwamba chai nzuri ni ile sukari imeungiwa jikoni mimi nasema HAPANA hiyo ndio sumu zaidi kwani sukari kabla ya kuzalisha kuanza kama juice ya miwa huchemshwa na kupikwa kiwandani hivyo unapokologea sukari kwenye maji inatokota huzalisha mapovu ambayo haya ni oxygen ili ungana na kemikali za carbon madhara yake sio mazuri kiafya ni vyema kuunga chai na sukari mezani sababu sukari huwa tayari imepikwa kikubwa uwe na maji ya uvuguvugu (moto).


Hebu mix maji moto + Iriki + sukari vijiko 2 = chai hii ni tiba ya meno na haruku kinywani.


Hebu mix maji moto + mdarasini + sukari vijiko 2 = ni tiba ya kisukari, pressure , na kinywa 


Hebu mix maji moto + karafu + sukari vijiko 2 = ya kinywa, hasira, furaha 


Hebu mix maji moto + tangawizi + sukari vijiko 2 = kifua, mafua, maumivu na homa ya asubuhi


Hebu mix maji moto + limao+ sukari vijiko 2 = ni dawa ya uzito, figo, chanzo cha Vitamini C mwilini.


Hebu mix maji moto + bamia  + sukari vijiko 2 = ni tiba ya kisukari, magonjwa ya magoti na mgongo, madonda ya tumbo


Hebu mix maji moto + Kitungu swaumu + sukari vijiko 2 = Ni tiba ya pressure, kisukari, minyoo, hewa, pumu, moyo, mfumo wa mkojo na kifua 


Unaenda wapi bila kuuliza swali au Like basi kama huna swali hapo juu twende 10k supporters.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

TIBA ASILI YA UUME KUWA NA MAPELE,FANGASI NA MADONDA.

WAJUA KUWA VIAZI MVIRINGO NI TIBA.

TANGO(CUCUMBER) KATIKA TIBA NA AFYA YA MWILI.