Machapisho

KUHUSU PUNYETO

Ni kwa kiwango gani upigaji punyeto huleta madhara? Hakuna upigaji punyeto uliyo salama na pia vilevile hakuna kiwango kilicho salama, licha ya kwamba mtu aliyefanya aliyejichua kwa kiwango kidogo ana nafasi ndogo ya kupata madhara. Hata hivyo, hakuna idadi maalumu inayoweza kuchukuliwa kama ni uchuaji au ufanyaji masturbation mkubwa au wa kupindukia (iliyovuka kiwango). Idadi ya kujichua (masturbation) anayoweza kufanya mtu bila madhara hutegemea afya ya mtu huyo na kemia ya mwili wake. Baadhi ya watu hupiga punyeto (masturbation) kwa muda mfupi katika kipindi fulani, mathalani mwezi mmoja tu au miwili. Na wengine wanaweza kufanya masturbation kwa muda mrefu kiasi cha mwaka mmoja au zaidi na hata huweza kufikia mara 2 hata mara 5 kwa siku, na wanaweza kufanya kila siku (NON STOP)! Kwa hakika huo ni upigaji punyeto uliyovuka mipaka, ni lazima itadhikisha ini na kazi za mfumo wa neva na lazima imweke mtu katika uhanisi hata kama ni kijana wa miaka 18, na kwa baadhi ya watu hata

DAWA YA KUKATA SAUTI

   Tuangalie Dawa Ya Kuponyesha Mtu Mwenye Tatizo La Kukwama Na  ●●● SAUTI ●●●  Kitaalamu Wanaita ●●●  HOARSENESS TREATMENT  ●●● Au Kwa ▪▪▪ Arabic Huita ▪▪▪  《¤》 علاج بحة الصوت 《¤》 MAANDALIZI YA DAWA ZAKE HIZI ZIFUATAZO :   ( 1 ) Tangawizi Ya Unga Gram 25 <> ( 2 ) Unga Wa Naana Gram 25 <> Changanya Dawa Hizi 2 Kisha Baada Ya Kuchanganya Vizuri.  Chukuwa Rojo Au Ute Mweupe Wa Yai Kijiko 1 Kidogo .  Utachanganya Na Kijiko 1 Kikubwa Cha Mafuta Ya Mzaituni...  MATUMIZI :  Utajipakaa Kwenye Koo lako Kutwa Mara 2 i Fanya kwa Siku 3 Au 5  lita Kwisha.  Kwa tatizo lolote la kidunia kasoro uzee na kifo .

DAWA ZA MAPENZI HIZI HAPA

Dawa za Mapenzi Mambo ya Mapenzi yana njia nyingi sana katika kuyatengeza, wengine wanatumia Nyota, wengine wanatumia Bahati zao za kuzaliwa, wengine uwezo wao wa kuzungumza na kushawishi na wengine wanatumia Miti Shamba na madawa mbali mbali ya mizizi. Mfano mmoja wa dawa hizo ni kuwam, watu huchukua Ini la Paka Mweusi, hulikausha na kulisaga na kuchanganya na chai ya rangi. Chai hiyo huwa ni lazima iwekwe katika Birika Jeusi na hupewa anayekusudiwa bila mwenyewe kufahamu. Kwa njia hii huwa kabisa hawakosei. Nchini Malaysia wao huchukua mchanga wa unyayo alipokanyaga yule anayekusudiwa na kuukaanga mchanga huo, njia hiyo inamfanya yule anayetakiwa kuwashwa washwa na mapenzi na hawezi kumfuata mtu mwingine ila yule mkaangaji. Waarabu nao huandika maandishi fulani kwenye kiganja cha mkono na kujisugua kwenye uso wakati wanazungumza na yule anayemtaka, anayetakiwa hushindwa kijizuia na kuanza kuonyesha mapenzi. Wamisri wao wanachukua nyuzi za kushonea nne za rangi ya ny

FAHAMU MADHARA YA VYAKULA VIZITO.

 Nimekuwa nasisitiza hapa kila siku wajinga ninyi usiku usitumie chakula kizito kuupa mwili, nitakuwa narudia swala hili mara ngapi ? Katika somo hili utajifunza mambo yafuatayo :  1.Aina ya vyakula vizito. 2.Faida za vyakula vizito 3.Athali za vyakula vizito na magonjwa 4.Jinsi ya kubalance lishe usiku. Aina ya vyakula vizito. Vyakula vizito kitaalamu huitwa Carb-BBA  protocol ni aina vyakula vilivyosheheni kiasi Kidogo cha  kamba kamba kwa asilimia 20%  (carbs) na wanga (Starch) kwa asilimia 69%  Mfano (Mahindi)(ugali)(wali mweupe)(chapati)(mkate)(uji)(chai) n.k. 👉Faida za vyakula vizito Vyakula vizito kwa kuwa husheeni asilimia 60% au zaidi ya starch ambayo starch hiyo hufyonzwa kwenye utumbo mdogo tumboni na kisha kuingia kwenye ini na kubadilishwa kuwa glucose ambayo mwili hutumia kuzalisha nguvu ya mwili.Faida ya vyakula vizito ni pamoja na kusaidia mwili kuwa na nguvu (movement) (work out) ni pamoja na kuzipa nguvu seli kufanya kazi mbalimbali ya mwili (cells fuction)  Athali z

SIRI YA PANADOL NA ASPLIN KATIKA KUTIBU.

 Hebu fikiria dawa Asplin au Panadol hizi zinatumika kutuliza maumivu lakini unatambua kemikali zake ni copy ya mti wa Tangawizi, kwanini hospital hawatakwambia utumie Tangawizi badala ya hizi chemical za vidonge. Tangawizi  _ Dawa ya maumivu ya jino. _ Dawa ya maumivu ya kichwa. _ Dawa ya Pressure (kama zinavyotumika Asprin) _ Dawa ya maumivu ya viungo. Ujaja wanatumia kemikali za Tangawizi kisha kuzibadilikuwa Kuwa Kidogo cha Asprin hapo utalipia 1000 ila Tangawizi ni natural sikoni ni 200 . Duka la dawa kuna dawa zinaitwa palacentamol, headex, mara moja , dawa 3 hizi dawa ukiangalia zinatumia kemikali ya kahawa yani ile kahawa ya chai ya caffeine ndio wanatia mle ndani  Kahawa  _ Ni dawa ya kituliza maumivu ya kichwa. _ Ni dawa ya kuchangusha akili. _ Ni dawa ya kuzuia usinguzi. _ Dawa ya tumbo. Ila ujanja wanokuzidi wanakuuzia caffeine ambayo tayari ni kemiki hapo utalipia 2000 ila kahawa sikoni ni 500 tu na ni asilia kabisa. Dawa za mwisho ni hizi ARVs ambazo ndio hatari zaidi, un

ONDOA SUMU KWA KUTUMIA LIMAO

Hikiwa hutakula chakula chochote usiku badala yake saga Limao moja 1 na maganda yake changanya na  kijiko kimoja cha barking Powder (chapa maandazi) = Weka na maji ya moto Kunywa. Mchanganyo huu, unatumika kuondoa sumu tumboni na mwili mzima hivyo hutakiwi kula chakula chochote ili ufanye Kazi kusafisha utumbo na figo...

TIBA ASILI YA UUME KUWA NA MAPELE,FANGASI NA MADONDA.

Kuota mapele au fungasi kwenye uume. Sababu kuu.   Kunachangiwa na wewe unapolala na mwanamke ukajamiana unakaa mdaa mrefu bila kujitakasa kwa Maji safi eneo la ume au joto kutokana na nguo ya ndani ama usafi wa Sehemu za siri. Tiba ni hii Bure na matokeo yake ni siku 3 Tu. Tiba Ni hii. Chukua maji ya uvuguvugu,  osha uume wako kwa kitamba laini, Weka chumvi kwenye kijiko cha chai changanya na mafuta ya kupikia (cooking oil)  Kisha paka eneo lote la vipele Usiku na Asubhi.

TUMIA KAROTI KUTIBU MACHO,SARATANI YA MIFUPA,MOYO NA UZITO.

 Sikuwahi kukuambia kama carrot 🥕, ni mhimu kwa Afya yako kabla.! Tambua ndani ya carrot  kuna wastani wa  Calories: 41 - Water: 88% - Protein: 0.9 grams - Carbs: 9.6 grams - Sugar: 4.7 grams - Fiber: 2.8 grams - Fat: 0.2 grams Hizi ni sababu tosha kukujuza kuwa carrot zina wingu wa beta carotene, fiber, vitamin K1, potassium, na antioxidants. Kwenye carrot kuna Fibers zinaitwa Soluble fibers hizi husaidia kushusha sukari, kwenye damu. - Pia zinashusha cholesterol na kusaidia mmengenyo wa chakula tumboni. _ Kwa kuwa kuna Vitamin A basi carrot zinaweza kuchochea uwezo mkubwa wa kinga kuongezeka,kuongeza uwezo wa kuona na ukuaji wa seli mbalimbali. _ Kwa kuwa kuna Biotin: A B vitamin au Vitamin H basi carrot inaweza kusaidia kusaga protein na kubalance mafuta mwilini. _ Kwa kuwa ndani ya carrot kuna hii, Vitamin K hakika upo Uwezekano wa carrot kuimarisha mifupa ya binadamu. _Pia nimekumbuka kuna Potassium hii ni mhimu Sana kwa kutuliza pressure ya damu. _ Vitamin B6 hii siwezi kuiacha

MKAA KATIKA KUSAFISHA MENO.

Kuna gumu gani kutumia Mkaa na chapa maandazi kusafishia meno yako, ambapo ukichukua  ½ chumvi + ½ Unga wa Mkaa + ½ chapa maandazi ukaswaki  meno yako yatangaa kama alimasi na wala hutasikia kinywa kikiwa kinatoa harufu.

DAWA YA KUTOA HARUFU UKENI.

Kutoa HARUFU mbaya UKENI Kisha unaanza kwenda pharmacy Na kutaka dawa ya kukata harufu UKENI, Dawa utakazo pewa baada ya mdaa zitagoma Utaanza Kunuka kama Zamani. Sabuni na maji unayotawazi yatatuliza uchafu baada ya saa harufu na maji yataanza kama kawaida shenzi kabisa. Mimi nakupa dawa na nini Cha kufanya. 1.Unanuka UKENI sababu haunywi maji ya kutosha hii Ndio siri shenzi kabisa unafichwa, ipo hivi  2.Uke wako unatabia ya kujisafisha kila baada ya dakika 30, hivyo yale maji unayokunywa Ndio UKENI hutunza mwilini ili kujisafishia kila baada ya dakika 30,  3.Hivyo kitendo cha unywaji maji kidogo, uke wako huanza kutegeneza tabia ya kusafisha uke na maji maji kidogo kitu kinachopelekea uke wako, kusalia na makombo ya uchafu wa bacteria na fungus Kunuka. Tiba.  Kunywa maji ya mengi wastani wa glass 6 Pendelea kula ndizi MBICHI kazi imekwisha bye bye kama matusi yamekuuma tambua huna hela ya kunilipa kwa msaada niliokupa shenzi kabisa.