DAWA ZA MAPENZI HIZI HAPA
Dawa za Mapenzi Mambo ya Mapenzi yana njia nyingi sana katika kuyatengeza, wengine wanatumia Nyota, wengine wanatumia Bahati zao za kuzaliwa, wengine uwezo wao wa kuzungumza na kushawishi na wengine wanatumia Miti Shamba na madawa mbali mbali ya mizizi. Mfano mmoja wa dawa hizo ni kuwam, watu huchukua Ini la Paka Mweusi, hulikausha na kulisaga na kuchanganya na chai ya rangi. Chai hiyo huwa ni lazima iwekwe katika Birika Jeusi na hupewa anayekusudiwa bila mwenyewe kufahamu. Kwa njia hii huwa kabisa hawakosei. Nchini Malaysia wao huchukua mchanga wa unyayo alipokanyaga yule anayekusudiwa na kuukaanga mchanga huo, njia hiyo inamfanya yule anayetakiwa kuwashwa washwa na mapenzi na hawezi kumfuata mtu mwingine ila yule mkaangaji. Waarabu nao huandika maandishi fulani kwenye kiganja cha mkono na kujisugua kwenye uso wakati wanazungumza na yule anayemtaka, anayetakiwa hushindwa kijizuia na kuanza kuonyesha mapenzi. Wamisri wao wanachukua nyuzi za kushonea nne za rangi ya ny